ANGALIA PICHA BONGE LA CLUB JIJINI ARUSHA WORLD GARDEN

Ni moja kati ya club kubwa sana katika mkoa wa arusha world garden .ambayo unaweza kufanyia shughuli yako katika eneo ilo.

ANGALIA HAPA PICHA ZA WASANII TOKA PANDE ZA NGARENARO ARUSHA..

Ni mmoja kati underground mcs toka pande za ngarenaro_arusha .
ni msanii mwenye uwezo  mkubwa freestyle battle..usipime.....
arachuga.,...mcs...

maproducer wa zyein record

Mtaani nikiwa na machalii pande za nambere 2napiga story mbili tatu sana ikiwa kuusu mziki wa arusha na tanzania kwa ujumla ila wanadai kuwa arusha kuna vipaji vya kutosha .talent arusha ipo ya kutosha so comment walionipa ni kwamba arusha ma mc wanabaniwa .?.........


 

About